ALIJUA HAJUI: Kitabu D1
ALIJUA HAJUI: Kitabu D1
Regular price
KSh350.00
Regular price
Sale price
KSh350.00
Unit price
/
per
Zuri na Jasiri wanagombana. Zuri anadhani yeye ndiye sahihi. Jasiri anadhani yeye ndiye sahihi. Bibi Fatuma ana hadithi ya kushiriki. Je, hadithi ya Bibi Fatuma inaweza kusitisha ugomvi? Jiunge na Jasiri, Zuri na Toto kwa mchana wa hadithi na ugundue nani ana haki.
Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji chipukizi wanaojifunza kati ya miaka minane na tisa au darasa la nne. Hadithi hii inakuza Heshima kama thamani muhimu na uwezo wa kujifunza kujifunza kama uwezo wa CBC.